mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Shemeji yangu alichukua mkataba wa pikipiki dada yake akamdhamini baada ya muda miezi sita ikatokea ajari ikapelekea kifo cha abiria pikipiki ikakamatwa kituoni shemeji yangu, ambae ndiye aliepewa mkataba wa chombo akamtaarifu boss mwenye chombo
Bosi mwenye chombo akakaa kimya dereva akaamua kufuatilia chombo polisi wakaamwambia chombo hakiwezi toka mpaka mazishi yaishe, basi muda ukapita boss mwenye chombo kuona kimya akaanza fuatilia kimya kimya, mwisho akatoa rushwa wakakiachia.
Baadae akarudi kwa mdhamini wa dereva wake na kumwambia atoe hela ambaye ametolea polisi mdhamini kwa woga kwa kuwa bosi alimtisha akamlipia mdogo wake pesa ambayo ni laki mbili, bosi mwenye chombo alivyopata akakaa kimya kwa muda
Baada kupita miez mitatu akamfuata tena mdhamin akidai amlipe hela ya matengenezo milion moja mdhamin akasema kwa sasa sina, likawa kosa akaenda kwa mwenye kiti kesi haijakaa sawa akambeba mdhamin polisi, haijakaa sawa akapewa karatasi aandike barua mwisho wa kulipa sasa muda umepita hivi imekaaje?