MLIOWAHI SUMBULIWA NA AMIBA NJOONI HAPA TUSHAURIANE!!!!

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Wanajf kwa wale mliowahi kusumbuliwa na amiba na sasa mmepona njooni hapa mnishauri kitu,maana hawa viumbe wananisumbua sana.Nataka kujua mliponaje maana mimi nimewatibu sana.Mara ninaambiwa bado kuna mayai yao ninapewa dawa lakini wapi,nyie mliponaje?Fungukeni mnisaidie!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…