ni mdogo sanaKwa nini ?
Mm sio mdogo kiasi hicho
una miaka mingapi ?ni mdogo sana
35una miaka mingapi ?
aisee nimekuacha mbalimimi ya kwangu 24
So hatujaachana sana
unajua Diamond na Zari wamepishana miaka mingapi ?aisee nimekuacha mbali
unapesa?unajua Diamond na Zari wamepishana miaka mingapi ?
Kiasiunapesa?
kwa wewe uwe unaingiza faida milioni kumi kwa mweziKiasi
hapana mimi bado nasomakwa wewe uwe unaingiza faida milioni kumi kwa mwezi
maliza shule kwanza totoo eeeehhapana mimi bado nasoma
Sijaanza kuingiza kiasi hicho
ni mwanachuo mkuumaliza shule kwanza totoo eeeeh
maliza kwanza chuoni mwanachuo mkuu