Hii Gari itakua ya DG wa reli ambae amemfukuza mfanyakazi wake kisa kuisema tozo iliyompa Gari hili, watanzania tuamke hii nchi yetu sote. Kama Kwa kutumia tozo zetu DG anaendeshwa kwenye Gari hili unategemea atakufanyaje wewe unaetaka angusha mzinga wake wa asali