Mlipuko wa Ebola Uganda, Wahudumu wa Afya Wagoma kuhofia Usalama wao

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wahudumu wa Afya walio katika Mafunzo ya Kwa Vitendo (Interns) wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafamasia wanaokabiliana na Ebola katika Hospitali ya Mubende wametangaza mgomo kupinga Ufinyu wa Vifaa Tiba, kudai Posho za Hatari na Bima za Afya na kutaka kuhamishiwa sehemu salama zaidi

Wahudumu hao wameilaumu Serikali kwa kuweka Maisha Yao hatarini ambapo hadi sasa Wanafunzi 6 wa Udaktari katika Hospitali hiyo ambayo ni kitovu Cha Mlipuko wameambukizwa Ebola

…..……………

Uganda's Ebola outbreak: Trainee doctors go on strike over safety fears

No vaccine yet exists for the Ebola strain in Uganda
Trainee medics battling Ebola in Uganda's virus epicentre accuse the government of putting their lives at risk.

"Most times you come into contact with a patient and you use your bare hands," one worker told the BBC anonymously. All trainees at Mubende's regional hospital say they are on strike and are demanding to be moved somewhere safer.

But Ugandan health ministry spokesman Emmanuel Ainebyoona told the BBC there was "no strike at the hospital".

Yet all 34 of the hospital's interns - including doctors, pharmacists and nurses - have announced their decision to strike in a joint statement.

They say they are being put at undue risk because they lack appropriate safety kit, risk allowances and health insurance.

Six interns at the hospital have already been exposed to the virus, and are awaiting their test results in isolation.
Since the outbreak began earlier this month, official government data shows 36 people are suspected of contracting Ebola, of whom 23 have died.

Source: BBC
 
  • Thanks
Reactions: MCN

Jamani wapoleke
Waombe Kutekelezewa mahitaji yao ila wasiache ndugu zao wakaangamia wakati wao wapo wanauwezo wa kusaidia
 
Back
Top Bottom