Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,099
- 1,315
Habari wakuu. Ni wiki sasa kuna mlipuko wa ugonjwa wa ajabu kidogo na dalili zake ni kuumwa kichwa, mafua, homa kali ikiambatana na joto kali sana na mwisho ni kuumwa mifupa.
Mimi nimelala weekend nzima nipo hoi. Leo nimeleta mtu hospital ndio nakutana na nyomi na wimbo ni uleule.
Wizara ya afya tunaomba majibu.
Mimi nimelala weekend nzima nipo hoi. Leo nimeleta mtu hospital ndio nakutana na nyomi na wimbo ni uleule.
Wizara ya afya tunaomba majibu.