Imenipiga hiyo homa ikanilaza wikiHabari wakuu. Ni wiki sasa kuna mlipuko wa ugonjwa wa ajabu kidogo na dalili zake ni kuumwa kichwa, mafua, homa kali ikiambatana na joto kali sana na mwisho ni kuumwa mifupa.
Mimi nimelala weekend nzima nipo hoi. Leo nimeleta mtu hospital ndio nakutana na nyomi na wimbo ni uleule.
Wizara ya afya tunaomba majibu.
Mimi nilikuwa napiga Panadol na kunywa maji mengi ikaisha
We nae vipi
Kuna homa kweli iko kitaa hata kuna wana JF wawili tunaofahamiana imewapiga tangu juzi
Mbona kafanya jambo jema kabisa!?We nae vipi
Unaogopa sana kuaga dunia mkuu.