Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Sep 11, 2021 #21 utah jazz said: Ni kwamba DR Congo imegeuzwa maabara walitaka na tanzania tuwe km kongo shukrani kwa hayati magufuli Click to expand... Alifanya nini?
utah jazz said: Ni kwamba DR Congo imegeuzwa maabara walitaka na tanzania tuwe km kongo shukrani kwa hayati magufuli Click to expand... Alifanya nini?
wazanaki JF-Expert Member Joined Mar 20, 2020 Posts 1,092 Reaction score 808 Sep 13, 2021 #22 utah jazz said: Ni kwamba DR Congo imegeuzwa maabara walitaka na tanzania tuwe km kongo shukrani kwa hayati magufuli Click to expand... Mkuu umeongea point sana. Comment nzuri sana. Tatizo kubwa la muafrika ni matumizi mabaya ya nguvu. Badala kutumia nguvu kupambana na maadui( mabeberu) anatumia nguvu nyingi kupambana na mwafrika mwenzake
utah jazz said: Ni kwamba DR Congo imegeuzwa maabara walitaka na tanzania tuwe km kongo shukrani kwa hayati magufuli Click to expand... Mkuu umeongea point sana. Comment nzuri sana. Tatizo kubwa la muafrika ni matumizi mabaya ya nguvu. Badala kutumia nguvu kupambana na maadui( mabeberu) anatumia nguvu nyingi kupambana na mwafrika mwenzake