Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kunako michuano ya Uefa Champion Lague iliyofikia hatua ya mtoano (16 bora) baada ya draw kupangwa walijitokeza watu kutoa maoni yao juu ya timu zitakazo fuzu kwenda hatua ya robo fainal lakini cha kushangaza wengi wao waliipuzia timu ya Chelsea wakiamini haitaweza kutoboa baada ya kupangwa na waongoza mbio katika ligi ya spain maarufu kama LaLiga nawazungumzia Atletico de Madrid.
Mechi ya kwanza ilipigwa Bucharest-Romania ukitumika kama uwanja wa nyumbani wa wababe hao wa LaLiga mpaka muda huu na Chelsea ikauibuka mshindi kwa goli 0-1. Mechi ya pili ikapigwa darajani na Chelsea akiendeleza ubabe kwa kumbabua mabao mawili kwa bila tofuti na wengi walivyotaraji.
Tunasubiria draw ya hatua ya robo fainali itakayopangwa hapo kesho tar 19 baada ya mechi za futuhi leo hii. Nakukaribisha kutoa utabiri wako nani atapangwa na nani? Irizi yangu inanambia Chelsea atapangwa na aidha Dortmund au Porto huku Man City akifika fainali.
√Th prid of London.
KTBFFH[emoji838][emoji838][emoji838]
Rest in pece president Magufuli.