kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Mlishangilia kuondolewa kwa Assad sasa wakristo wanauliwa kama kuku Syria
Kuna watu humu walifurahia kuangushwa kwa Assad, walisherehekea sana
Walidai assad ni gaidi anayeungwa mkono na Iran wakaenda mbali kudai Assad ni adui wa taifa teule eti
Waliwaunga mkono waasi humu, sasa Assad kaondoka mliokua mnawaunga mkono waaasi kwann mnalalamika?Kwanini mliyempenda si ndo kashika usukani?
Sasa tulieni muelewe kwanini Urusi walikua wanamsapoti Assad
Iran wakristo wanaishi kwa Amani, Syria wakristo waliishi kwa amani pia sasa hivi mambo yamekua tofauti
Kazi ni kufia Israel ndo baadhi ya watumwa wa fikra wanachoweza, sasa tulieni maana mulitaka waasi washinde.