kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ninawashangaa sana hawa utopolo baada ya kumsaini utopolo mwenzao wanakuja kututambia bila kujua ni sawa na mtu mzima kucheza sarakasi akiwa amevaa taulo pekee.
Manara hadi kufikia kuaminiwa na utopolo,walishaanza kumtumia kitambo sana. Ni vigumu kuamini kuwa Haji hakuwa na faida kubwa yanga kwa maneno ya shombo aliyoyatumia,asingeweza kuendelea kuwa rafiki wa akina GSM. GSM na utopolo walifaidika na uwepo wa Haji Simba.
Simba kwa vyovyote haikumuhitaji tena Manara. tulikuwa tunajenga yeye anatoboa ili ku balance status na timu yake utopolo. Kila mwana Simba anafuraha kuondoka kwa kikulacho aliyetuhujumu Simba. Na wote waliompenda waende naye utopolo huyu hachelewi ataharibu tu na huko halafu muhamie nyumbani kwake.
Tunawasubiri mtengeneze muunganiko kama mlivyozoea huku mkilaani TFF.