Mlituahidi SGR Dar - Moro kuwa tayari toka Novemba mwaka jana 2019, hadi leo ni visingizio tu, mara mvua, mahandaki, mara madaraja, blah blah, blah!

Halafu hilo li SRG linapopitiamo % 99.5 ya watu hawana vyoo Wanaqunyer maporini na vichakani.

Penda sifa za kijingajinga wakati huwezo hauna
 
Kwanza mie sio mpinzani. Pili hiyo sio SGR yenu kwa kuwa inajengwa na fedha za Watanzania. Au siku hizi hamjengi tena na fedha za ndani mnapewa fedha toka Chato?
Sihitaji kwenda kusomea certificate pale veta ili niweze kumbaini mpinzani ni nani

# Ni wewe!
 
Kwa hatua ilipo, itatuchukua miaka 20 kuifikisha Kigoma. Huyu anaeomba ridhaa amalizie miradi aliyoianzisha maana yake tutavunja katiba kumpa ridhaa ya miaka 20 ili afanikishe hayo.
 
SGR haiwezekani, na kinachofuata baada ya Uchaguzi ni vikwazo vya kufa mtu, Labda Magu auze ng'ombe wa Ranchi yake Karagwe alikonyang'anya mashamba ya wananchi
 
wewe umewesa jwanza kujenga hata banda la kuku.Unadhan yake mataruma na kuendesha kandaras kama ile ni mavi. hujuii kama Covid 19 ilichelewesha baazi ya wakandaras waliokuwa nje kwa likizo.toa ujinga hapa
 
Chizi yuko kwenye usukani
 
Nyie si mmekataa maendeleo ya vitu. Sasa mbona mnalilia SGR? Yaani magwanda hamuelewekiiiiiii
Acha akili za kipumbavu - kama watu wakisema wanataka maendeleo ya watu sio vitu hiyo ndio inawapa nyie excuse ya kudanganya na kukiuka taratibu za serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo ya vitu?? Unaaibisha jina ulilobeba kwa kuwa dumb minded kiasi hiki. Itafanya watu tufanye conclusion mbaya kuhusu akili za watu wenye majina kama yako

Magandwa wamekataa maendeleo ya vitu, sio vitu. Mngekuwa na akili timamu mngeelewa lakini kwa kuwa wengi wenu ni nusu taahira kuanzia juu hilo ni gumu kwenu kuelewa.

Ukiambiwa usiwe mlafi haina maana uache kula, na tukikuambia usiendekeze ngono haina maana usiolewe!
 
wewe umewesa jwanza kujenga hata banda la kuku.Unadhan yake mataruma na kuendesha kandaras kama ile ni mavi. hujuii kama Covid 19 ilichelewesha baazi ya wakandaras waliokuwa nje kwa likizo.toa ujinga hapa
Covid-19 Tanzania? Ilikuwapo kwa miezi miwili mitatu tu ikpotea baada ya maombi. Mmeshasahau mara hii? Sasa mmeanza kuitumia kama kisingizio wakati waliosema ipo mliwafukuza kazi?

Na kama kuna waliohitaji kuelewa kuwa kuendesha kandarasi kama ile sio mavi ni nyie. Kwa nini mkatoa ahadi zisizotekelezeka kama akili zenu sio udunyo wa ng'ombe? Hamjui hata kukadiria muda wa kandarasi mnawezaje kuendesha nchi?

Watu hovyo kabisa nyie. Hamueleweki. Mnakuwa kama wote mnavuta bangi ya Chato
 
Na wewe lazima umeanza kuvuta bangi ya Chato kama wengine. Watu wakisema tusukazie maendeleo ya vitu haina maana hawataki vitu. Tukikuambia usiendekeze ngono haina maana usizae. Mna matatizo ya akili nyie, ndio maana mnadhani upinzani unapinga kila kitu.
 
wewe sasa ndio huelewi pinga pinga Fc. covid ilipokuja kidunia haikua na maaana Tanzania haikuchukua tahadhari.Hapaana ilichukua measures kulingana na mazingira yetu sio kwa kufuata mkumbo wa western.Nyie mlitaka Lockdown ili watu wanyonge wafe na njaa.mnacopy na kupaste.I wonder hata hoja za kampen yenu mnazitoa kwa nanii..
covid iliposhika kasi hata murad ilipunguza baadhi ya kazi kwa sababa mbalimbai
wkandaras kadhaa huenda walikua likizo na hivo nchi zao kuwa lockdown wakashindwa kurud kwa wakat.
na pia mradi unaenda kwa kasi na wewe pinga pinga Fc utakuwa wa kwanza kupakiza tenga zako za nyanya masaa 3 upo dom.dar
 
Kama una akili jibu swali hili, Covid-19 imesababisha ucheleweshaji wa kukamilika kwa awamu ya kwanza ya SGR ya Dar-Moro kwa kiasi gani?

Halafu nani alikuwa anahubiri Covid-19 haiwezi kuathiri shughuli zetu za maendeleo hata wapinzani wakipiga kelele kiasi gani na kutuonyesha shughuli za miradi ya ujenzi barabara zikiendelea bila kukoma? Yaani hiyo Covid-19 ilipamba moto kwenye SGR tu?

Mkiwa waongo msiwe wasahaulifu basi
 
Kwa hatua ilipo, itatuchukua miaka 20 kuifikisha Kigoma. Huyu anaeomba ridhaa amalizie miradi aliyoianzisha maana yake tutavunja katiba kumpa ridhaa ya miaka 20 ili afanikishe hayo.
Acha hizooooo weweeeeee!!!!! Hiyo 5 tu bado hakieleweki!!!!! Mi ntaandamana peke yngu!!!!!
 
wewe umewesa jwanza kujenga hata banda la kuku.Unadhan yake mataruma na kuendesha kandaras kama ile ni mavi. hujuii kama Covid 19 ilichelewesha baazi ya wakandaras waliokuwa nje kwa likizo.toa ujinga hapa
He he heeeeeeeee!!!!! Mbavu zangu mieeeeer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…