Mlituahidi SGR Dar - Moro kuwa tayari toka Novemba mwaka jana 2019, hadi leo ni visingizio tu, mara mvua, mahandaki, mara madaraja, blah blah, blah!

Halafu hilo li SRG linapopitiamo % 99.5 ya watu hawana vyoo Wanaqunyer maporini na vichakani.

Penda sifa za kijingajinga wakati huwezo hauna

kunya porini ni maamuzi kama kulalia ngozi.
 
Kwa hatua ilipo, itatuchukua miaka 20 kuifikisha Kigoma. Huyu anaeomba ridhaa amalizie miradi aliyoianzisha maana yake tutavunja katiba kumpa ridhaa ya miaka 20 ili afanikishe hayo.

akiwa anakabidhiwa mradi 2024 na mkandarasi ili auzindue,utakuwa unaadika "abiria wa sgr moro-dar walalamika bei kuwa juu 8000,tofauti na nauli ya mabasi 7500"
 
Kawia ufike. Mambo mazuri hayataki haraka.
 
Sasa na nyie muwe mnaeleweka sio mnakuwa kama sigara kali, haileweki iwashiwe wapi juu au chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…