Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari.

Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako?

**Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
 
Back
Top Bottom