Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari.
Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako?
**Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
karibu kiongoziNgoja nisome comments.
Nn tena kiongoziSijakuelewa
Fafanua ulichoandikaNn tena kiongozi
nyie sio mnaogopa kukosa mtoko wa wikendi kweli?π€£π€£Hata mbingu na dunia zikiumbwa tena, nitamchagua yeye tuu.. ππ