Mliyewahi kutumia dawa za kuongeza umbile la uume naombeni mrejesho

Yaani mkuu unatupa pesa ili uongeze dushe ili iweje sasa? Aliyekuambia kugegeda ni vita ni nani?

Mimi kabla ya Mungu kuniumba angeniuliza kuchagua kati ya pesa na dushe kubwa bila kusita ningechagua pesa.
 
Sina longolongo,humu pia nilishawahi Fanya deal na jamaa wawili tu
Bt wiki ijayo ntakuja na Uzi maalumu,ntakua tag
Poa we nitag, ilimradi zisiwe zote id zako, maana ukishapania kufanya biashara ushindwi kuwa na multiple id kumi
 
Angalia hata kwenye bei alizotaja na alizojijibu
Siku zote bei hazipungui Hapo so ulidhani bei ni elfu 2000??
Anway ni bora nanyi mkamsaidia mtoa maada wala sio kunikomalia bila point
 
Mkuu we si ndo Morani na ndio wataalam wa hizo mambo, waone nduguzo km umekulia town
 
Habari bure..hutaki unaacha
hiyo dawa kama ni ya kweli haihaitaji ht matangazo hata uwe chimbo utauza 2 kwa jinsi kina le kibamia wanavyohangaika ht yeye angenunua kwa garaa youote ile
 
Yaani mkuu unatupa pesa ili uongeze dushe ili iweje sasa? Aliyekuambia kugegeda ni vita ni nani?

Mimi kabla ya Mungu kuniumba angeniuliza kuchagua kati ya pesa na dushe kubwa bila kusita ningechagua pesa.
mkuu kibamia kinapoteza confidence haswa unapotaka kumtokea demu mpya
 
Si ungechelewa kidogo kujijibu mwenyewe ona sasa watu wamekudhtukia.
 
Mleta mada kuwa makini humu ndani.
 
Nikopeshe
 
hiyo dawa kama ni ya kweli haihaitaji ht matangazo hata uwe chimbo utauza 2 kwa jinsi kina le kibamia wanavyohangaika ht yeye angenunua kwa garaa youote ile
Kweli mkuu bt sijawahi weka tangazo, kunauzi Kama huu ukishawahi tolewa hapa,na nlifanya kazi na jamaa,then akaja leta mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…