Mliyewahi kutumia dawa za kuongeza umbile la uume naombeni mrejesho

Si ungechelewa kidogo kujijibu mwenyewe ona sasa watu wamekudhtukia.
Wala haisaidii,kwasababu sijalazimisha mteja Bali nimeelezea nilichonacho,bt pia bei nikaweka wazi ili mtu akipenda aje asipopenda aishie hapa
 
Hivi unaweza jiongezea urefu kwenye kitu ulichozaliwa na kukikuta?
 
Acheni kuwaibia watu jamani hivi hamuuogopi mwisho wenu?naamini ilivyo ngumu mtu kujiongezea kimo chake pia ni vigum kujiongezea kiungo chochote cha mwili wake tofauti na maumbile aliyoumbwa nayo.enyi mnaoitwa vibamia nyie vibamia hamna mna maumbile yakutosha kabisa kinachotokea ni kwamba mnakutana na wadada aina ya machangudoa wenye mabwawa!hamjiulizi mbona enzi za wazee wetu ujinga huu haukuwepo?upo kwa7bu maadili yameshuka mwanamke mmoja kwa wik anavuliwa nguo na wanaume kama sio wawili basi watatu akukute wewe pekeako kwa mwezi kwanini asiseme una maumbile madogo?cha kufanya tulizaneni tafuteni maisha ipo siku mtawapata wa size zenu.
 
Aina mpya ya matangazo hongera sana.Unataka kuongeza ukubwa wa nini mtupanulie kma za wake zetu
 
Umewahi kutoa jibu haraka sana ,,tayar washajua ungengoje kidogo comment zijae kisha ufanye hili tangazo la kujitangazia A&B
 
Kuna hizi za kichina ukimeza dushe linakuwa kama limevimba tu lakini uvimbe huo huisha baada ya saa24.
 
Kuna ile ya kuchanjia maji ya dodoki changa ,kadiri dodoki linavyokua na dushe huongezeka ukubwa.Ukiridhika na ukubwa unaoutaka unang'oa dodoki ili lisiendelee kukua sambamba na dushe.Au karuke mara kadhaa mtwangio ukitaka urefu wa dushe.Hizo ni imani tu za kienyeji.
 
Mtumiaji awe na umri gani?
 
Ya dodoki pori nimeshuhudia. Ila ukichelewa kukata dodoki utalazimika uvae sketi ili dushe lisionekane kwa watu, maana hukua hadi kero.
 
Ya dodoki pori nimeshuhudia. Ila ukichelewa kukata dodoki utalazimika uvae sketi ili dushe lisionekane kwa watu, maana hukua hadi kero.
kuna ya mti Wa mlegea pia iko kama dodoki
 
Kanjanja!!
 
chanja tango pori utaona matokeo ya ukubwa wa ajabu
 
Acheni kutumia hayo mavitu, cha msingi kuleni vizuri halafu mfanye mazoezi kwa sana
 
Mwanangu untatizo gan mpk kuangaika na midawa hiyoo

Km maumbile madogo tafuta dem mwenye kibamia

Madem weng wafup wanene kidogo wamavibamia

Yaan machine ikiingia unaona kabisa imegusa kunakoo,
 
Umewahi kutoa jibu haraka sana ,,tayar washajua ungengoje kidogo comment zijae kisha ufanye hili tangazo la kujitangazia A&B
Wacha kukariri,sasa kama nlikuwa online nisijibu Kisa mawazo yenu
 
Mtumiaji awe na umri gani?
Angalau 25 kwenda juu, na sijawahi uzia mtu chini ya Hapo wengi 28 kwenda juu(IRINGA, DAR,NJOMBE,DODOMA,hasa boda humu watu wa maroli wanachukua sana
Pia vumbi la Kongo lipo mkuu,ni wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…