Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo.
Pesa zinazoibiwa zingetumika vizuri mngekuwa mnanunua petrol kwa 1700 na sio bei mnayouziwa sasa ya Tsh 3200