Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hii ngonjera ya amani imepumbaza na kuwapoteza mwelekeo wajinga wengi mnoKule Somalia ,bodaboda hawana matumaini....muda wowote tu magaidi Al Shabaab wanafanya yao....
Kule Sudan bodaboda wamekata tamaa...
Wa kivu kaskazini hivyohivyo...
Bodaboda wa Tanzania wanahitaji UTULIVU NA AMANI....na wanajua fika kuwa misingi ya nchi ya amani na utulivu italindwa milele dumu na watu waliojipambanua KUILINDA VYEMA....
#Nchi Kwanza[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tz hii mpzan ana tofauti na ccm wote nyie wanasiasa mpo kwa ulaji amna kitu hapo tofaut tu mnaigiza umpo kutupgania lakn wap akuna kitu unakuta mpzan anasoma raman kama ccm kuna upepo anahamia sasa na ss tunasomaga raman maana tunaitaj pesa kama nyieNi kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo.
Pesa zinazoibiwa zingetumika vizuri mngekuwa mnanunua petrol kwa 1700 na sio bei mnayouziwa sasa ya Tsh 3200
Hapana chadema Ina sera za kumkomboa mpaka yule mtu wa chini kabisa tofauti kabisa na ccm wao watakwambia wanakubalika ila waambie walete tume huru ya uchaguziTz hii mpzan ana tofauti na ccm wote nyie wanasiasa mpo kwa ulaji amna kitu hapo tofaut tu mnaigiza umpo kutupgania lakn wap akuna kitu unakuta mpzan anasoma raman kama ccm kuna upepo anahamia sasa na ss tunasomaga raman maana tunaitaj pesa kama nyie
🤣🤣🤣 sta sahau maisha yangu tumchaguwa kiongoz wa mtaa kwa tket ya chadema tuka linda kura mpaka asubuh naunajua watu wa uku Arusha wanavo penda mabadliko lakn mwamba alivo pata uongoz aiseee skuamn kumbe n umaskn ilikuwa inamsumbua uwez amn saiv jamaa kaja kwa tket ya ccm baada ya kumpga chn 2020 kasoma upepo kwaiyo ndugu zanguni Tz pagumu hyo ndyo ukwlHapana chadema Ina sera za kumkomboa mpaka yule mtu wa chini kabisa tofauti kabisa na ccm wao watakwambia wanakubalika ila waambie walete tume huru ya uchaguzi
Kama unajua wanapojazia watu full tank niambie mkuu nikachukue wese lao halafu siwapigii kura ng'o.Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo.
Pesa zinazoibiwa zingetumika vizuri mngekuwa mnanunua petrol kwa 1700 na sio bei mnayouziwa sasa ya Tsh 3200