ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 247
- 107
Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa na wataalam kwamba kwa siku mtu anatakiwa anywe angalau lita moja na nusu ya maji,lita moja ya maziwa, pia ale vikombe vitatu vya mboga ya majani,calori kadhaa za wanga n.k.(orodha ni ndefu nawaachia wana JF waiendeleze)
Sasa tatizo langu ni kwamba:
1.Uwezo wa mtu kupata hivyo vitu upo?
2.Nafasi (tumbo) ya kiviweka hivyo vitu ipo? hasa ukizingatia muda uliowekwa wa siku moja?
3.Kubwa zaidi muda wa kula na kunywa hivyo vitu vyote upo hasa ikizingatiwa kwamba mtu anatakiwa pia
kufanya kazi ya kumwingizia kipato?
Hebu watalaam na wana JF nisaidieni kunielewesha kuhusu hilo.