Mlo wa siku

ong'wafaza

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
247
Reaction score
107
Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa na wataalam kwamba kwa siku mtu anatakiwa anywe angalau lita moja na nusu ya maji,lita moja ya maziwa, pia ale vikombe vitatu vya mboga ya majani,calori kadhaa za wanga n.k.(orodha ni ndefu nawaachia wana JF waiendeleze)
Sasa tatizo langu ni kwamba:
1.Uwezo wa mtu kupata hivyo vitu upo?
2.Nafasi (tumbo) ya kiviweka hivyo vitu ipo? hasa ukizingatia muda uliowekwa wa siku moja?
3.Kubwa zaidi muda wa kula na kunywa hivyo vitu vyote upo hasa ikizingatiwa kwamba mtu anatakiwa pia
kufanya kazi ya kumwingizia kipato?
Hebu watalaam na wana JF nisaidieni kunielewesha kuhusu hilo.
 
Me nafikiri jaribu kadri uwezavyo kwa kipimo maalum huku ukizingatia kipato, mazingira yanayokuzunguka na shughuli unazofanya.
 
Haina maana kuwa uvikusanye vyote kwa pamoja ndio ule
 
It more food.... more wat wat......the slogan's....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…