Wadau. Nimedunduliza kahela ka kununua gari Kampuni ya Autorec ya Japan. Nimekuwa nalipia kwa awamu, nimelipa awamu mbili bado moja ya mwisho. Changamoto ni kuwa kila ninapotuma pesa huwa nawajulisha Autorec na kuwatumia risiti ya TT. Ajabu ni kuwa kwa awamu zote mbili, Autorec wanakiri kupokea pesa lakini zinakuwa zimepungua $ 25/-. Nimefuatilia benki nilizotumia kulipia na wamehakisha kuwa wametuma kama nilivyolipia.
Autorec wanadai wamepokea pesa pungufu ya $ 25/-. Nijuzeni, hawa ni matapeli?

Hello Wandugu,
Nimecheck Autoreck - Subaru Forester milleage 90,000
Subaru Forester ya mwaka 2000 bei yake ni 3970 US $ ikiletwa mpaka Dar es salaam.
Je kuna gharama gani kukomboa bandarini?
Kodi ni kiasi gani??
Subaru na Suzuki ipi bora
Muwe mnasoma invoice mameandika kabisa bank charges utakatwa wewe..by the way ni hela ndogo ya kipiga azam kola acha lawama subiri vitz ije upate kichaa tra kwa ushuru..