Mlotangulia kuona jua msaada tafadhali.

Mlotangulia kuona jua msaada tafadhali.

GLORY TO GOD

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
45
Reaction score
12
Habari wahesmiwa,mwezenu ni na hitaji msaada wana jf,toka nianze kufanya tendo la ndoa c jawahi kuic tamu la tendo,najitahidi kueka akili ktk tendo na kuvuta hisia lkn c hisi tamu,naitaji suluhu ya tatizo.
karibuni ndg zngn.
 
hakuna utamu wowote huko mdogo wangu, sana sana utamu utakaoupata huko muda si mrefu ni ukimwi tu.
 
Kwanza umeoa au umeolewa.Kama hujaoa wala kuolewa huwezi kusikia utamu mpaka uwe kwenye ndowa
 
Ni kwa sababu huna ndoa. Hilo tendo ni maalum kwa wanandoa tu. Labda ujaribu kuzini.ama kungonoka.
 
Mmmh.... Mie bado sijaanza kufanya hilo tendo, nikianza nitakwambia kama tamu au chungu..!
 
Back
Top Bottom