GLORY TO GOD Member Joined Oct 15, 2012 Posts 45 Reaction score 12 Nov 6, 2012 #1 Habari wahesmiwa,mwezenu ni na hitaji msaada wana jf,toka nianze kufanya tendo la ndoa c jawahi kuic tamu la tendo,najitahidi kueka akili ktk tendo na kuvuta hisia lkn c hisi tamu,naitaji suluhu ya tatizo. karibuni ndg zngn.
Habari wahesmiwa,mwezenu ni na hitaji msaada wana jf,toka nianze kufanya tendo la ndoa c jawahi kuic tamu la tendo,najitahidi kueka akili ktk tendo na kuvuta hisia lkn c hisi tamu,naitaji suluhu ya tatizo. karibuni ndg zngn.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,118 Reaction score 1,875 Nov 6, 2012 #2 hakuna utamu wowote huko mdogo wangu, sana sana utamu utakaoupata huko muda si mrefu ni ukimwi tu.
bornagain JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,383 Reaction score 1,357 Nov 6, 2012 #3 Kwanza umeoa au umeolewa.Kama hujaoa wala kuolewa huwezi kusikia utamu mpaka uwe kwenye ndowa
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Nov 6, 2012 #4 Ni kwa sababu huna ndoa. Hilo tendo ni maalum kwa wanandoa tu. Labda ujaribu kuzini.ama kungonoka.
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,844 Nov 6, 2012 #5 Mmmh.... Mie bado sijaanza kufanya hilo tendo, nikianza nitakwambia kama tamu au chungu..!