Mlotangulia kuona jua msaada tafadhali.

Mlotangulia kuona jua msaada tafadhali.

GLORY TO GOD

Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
45
Reaction score
12
Habari zenu ndugu zangu,na tatizo
mwenzenu nikafanya mapenzi na mr c skii rahaa ya tendo kabisa na wala
cjawahi fikia kileleni,ila nikifanya mwenyewe kwa kujichua nafika
kileleni,na c wa mwanzo yy ht hao wanyuma kbl yk pia nilikua sihisi tamu ya penzi,na jitahidi ku concentrate mental ili nipate ladha lkn cjafanikiwa
naombeni suluhu!
 
Duh,we noma..i thnk psychologically upo disturbed kutokana na mazoea ya kujichua,change lifestyle csta!
 
acha kupiga NYETO na hayo yakutokeayo ndio madhara ya nyeto.poleee sana au nenda kaonane na dokta
 
Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya usiwe excited wakati wa tendo la ndoa kama vile za kisaikologia. Unaweza ukawa ulikuwa na mpenzi wako au una mpenzi mwingine zaidi ya mumeo anayekuridhisha kutokana na staili zake au jinsi alivyo, inawezekana Mr anapoingia mashine yake haisimami sawasawa kutokana na wewe kutorespons ilivyo, au kama walivyosema wengine umekuwa na tabia ya kujisugua kwa muda mrefu aidha kwa kutumia vidole vyako au vibrator!Mazingira unayofanyia sex nayo yamnachangia, kama ni joto sana, au kuna watoto karibu na unaogopa kutoa sauti, stress za kazi unayofanya, kama kuna dawa unazotumia ammazo zinapunguza hamu ya tendo la ndo(zipo), historia yako ya nyuma kama ulishawahi kuwa raped na hujasamehe....n.k. Wakati mwingine unaweza kuwa mkavu,na hivyo tendo lenyewe likawa linakuumiza au hulisikii kabisa n.k Hivyo inategemea wewe una shida ipi na maoni ya kukusaidia yatategemea chanzo cha tatizo lako. Jitahidi mfanye foreplay sana kabla ya tendo, kama mkavu unaweza kutumia KY jely, jamaa aitafute G-sport kwa syle mbalimbali kwani kwenye mapenzi wakati mwingine kunahitajika innovation, msiwe kila siku ni kifo cha mende.....Jitahidi sana kutengeneza picha nzuri ya mumeo kimahaba na mnaweza kubadili sehemu ya kufanyia mapenzi, mkaenda outing na mjiweke kimahaba....Kwa leo niishie hapa.
 
Back
Top Bottom