Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya usiwe excited wakati wa tendo la ndoa kama vile za kisaikologia. Unaweza ukawa ulikuwa na mpenzi wako au una mpenzi mwingine zaidi ya mumeo anayekuridhisha kutokana na staili zake au jinsi alivyo, inawezekana Mr anapoingia mashine yake haisimami sawasawa kutokana na wewe kutorespons ilivyo, au kama walivyosema wengine umekuwa na tabia ya kujisugua kwa muda mrefu aidha kwa kutumia vidole vyako au vibrator!Mazingira unayofanyia sex nayo yamnachangia, kama ni joto sana, au kuna watoto karibu na unaogopa kutoa sauti, stress za kazi unayofanya, kama kuna dawa unazotumia ammazo zinapunguza hamu ya tendo la ndo(zipo), historia yako ya nyuma kama ulishawahi kuwa raped na hujasamehe....n.k. Wakati mwingine unaweza kuwa mkavu,na hivyo tendo lenyewe likawa linakuumiza au hulisikii kabisa n.k Hivyo inategemea wewe una shida ipi na maoni ya kukusaidia yatategemea chanzo cha tatizo lako. Jitahidi mfanye foreplay sana kabla ya tendo, kama mkavu unaweza kutumia KY jely, jamaa aitafute G-sport kwa syle mbalimbali kwani kwenye mapenzi wakati mwingine kunahitajika innovation, msiwe kila siku ni kifo cha mende.....Jitahidi sana kutengeneza picha nzuri ya mumeo kimahaba na mnaweza kubadili sehemu ya kufanyia mapenzi, mkaenda outing na mjiweke kimahaba....Kwa leo niishie hapa.