mlowa one

mlowa one

New Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1
Reaction score
0
nimekaa nimefikiri ,nimegundua kua ccm madarakani hauwezi kutoka kwani nao wamegundua kuwa ni chama cha wanainchi kwa hiyo hawabweteki hata kidogo,nafurahi sn kuona ni wapembuzi wa mambo ,mfano hai igunga wameshinda kiulaini
 
Today 18:31

Junior Member

Join Date : 30th September 2011
Posts : 1
Rep Power : 0
 
nimekaa nimefikiri ,nimegundua kua ccm madarakani hauwezi kutoka kwani nao wamegundua kuwa ni chama cha wanainchi kwa hiyo hawabweteki hata kidogo,nafurahi sn kuona ni wapembuzi wa mambo ,mfano hai igunga wameshinda kiulaini
Kama wewe ndio tegemeo lao basi kazi ipo!!!! Hata kwa kuingia tu hukujui? Any way karibu
 
...duh kaanza vizur sana. Yaani post ya kwanza tu ki nape nape...hahahahaaaaa mpeni email ya nnauye awe anawasiliana nae...wait! Wait! Wait!....unajua huyu anaweza kuwa ni nape mwenyewe kaamua kuja na id mpya baada ya igunga....i dobt tht.
 
Haya matakataka mengne cjui yanatokeaga wapi humu jf?
 
umeingiza sipo mkuu, angalia jukwaa kabla haujaposti.
 
Huyu kenge naye kwenye msafara wetu. Angalia una post kwenye part gani ya jukwaa
 
Sio mahali pake hapa.ila karibu sana na utajifunza vitu vya kuweka sehemu hii
 
Jamani hivi hamjui kila ki2 kina mahali pake? Mwingine alituambia tujadili mambo mengine na sio kazi,hapa ktk jukwaa la kazi! , jamani km huna cha kupost kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…