Bravo maselaa, machalii na masistaa wa humu...
Niende kwenye mada
Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tanzania ila cha ajabu idadi ya ndoa kati ya waafrika na wahindi ni chache mno ukinganisha na jamii nyingine mfano waarabu
Ok sasa mliowahi kuwaoa, kudate au hata mahusiano na hawa wasichana hebu tiririkeni wakoje tuanze kujua mapema maana mzee wa totoz kuna mmoja nimemzimikia balaa nataka niingie kwake mzima mzima mtoto mashallah balaa...ila mlowahi kudate nao piteni hapa mtuambie wakoje