MM research&consultancy.

Kisinzah K

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
6
Reaction score
0
MM research &consultancy...
Ni kampuni ya kitanzania wenye uzoefu mkubwa katika kazi za tafiti...
Tunawakaribisha mashirika na makampuni na taasisi zote kushirikiana nasi katika tafiti ili kuleta maendeleo ya nchi yetu pamoja tunaweza.

Mawasiliano.
+255 75 7882172
+255 78 5827366
+255 65 7416239
+255 65 9630079
Email:mmresearchconsultancy@gmail.com
 
Kweli kampuni ya kitanzania...hata kiswahili shida?? Mnh sijui hizo research zitakuwaje??
 
Kweli kampuni ya kitanzania...hata kiswahili shida?? Mnh sijui hizo research zitakuwaje??

mm research ni kampuni inayoundwa na wataalamu waliojitoa katika makampuni ya utafiti ya wakenya.ondoa shaka ni kampuni ya kitanzania.
 
Vp mkubws naweza kupata ka kazi na me kidogo nijishikize.Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…