Mazishi yangu
Member
- Aug 23, 2026
- 28
- 75
Tafuta helaTangu nikiwa 18yrs hadi sai nimezoea tu kutongoza wa mama kwanzia 40 and above. iwamama watamu bana na tena hustruggle kuwatongoza ni chap tuh.
Kirikuu look at my dab 😁Uzi tayari au sio😁😁
Mwenye tshirt nyeupe ni mimi nafukia kinoma
Wamama wana raha na utamu wake mkuu, usipime....Sasa janja unapata raha gani ? 😂
Ebhanaee,watakuwa gharama sana kuhudumia.Wamama wana raha na utamu wake mkuu, usipime....
Ukijaribu huachi wallahi