Mashindano ya tanzania mengi ni upuuzi mtupu
tangu mwanzo alionekana kubebwa mno na majaji, sidhani kama kipaji chake kiko juu zaidi ya wale washiriki woooote! Rich na kundi lako mmevurunda mno aisee mpaka aibu
hivi hili shindano halikua na vigezo vya umri wa washiriki? (Hata BSS walikua na restriction ya umri, below 18 no kushiriki) hawa TMT I wonder vigezo na masharti yao yalikuaje?
Samahani ni shindano gani hilo....?
Yaan kulikua na mkaka anaigiza vizuriiii mi nadhan wanataka aje awe kama Lulu

Ukilinganisha umri na vitu alivyokuwa anavifanya,,she was the best of all. Hata mashindano mengi ya talent huko nchi za watu huwa hayana age restriction,,vipaji vinatakiwa vivumbuliwe vikiwa vidogo ili viendelezwe. Believe me another movie star has been born
Dogo yuko juu kwa umri wake kama anaigiza vile,,,then akiwa mkubwa she will be something else,,she deserved it