Kabila lake ndo Brandy yake...KONDE BOY.kuna haja gani ya kutaja kabila lake??? Ungeandika Harmonize ingetosha
Kwani si ni nikinemu lake..?? KONDE BOY... au mi ndo sielewi..??kuna haja gani ya kutaja kabila lake??? Ungeandika Harmonize ingetosha
ngumi ya mwanaume
AkA yake ni rajabuKwani si ni nikinemu lake..?? KONDE BOY... au mi ndo sielewi..??
alikuwa hafaamu
ahaaa kumbe
Basi kama anamaanisha kabila lake angetumia Makonde..ila konde maana yake ni vidole vya mkono vilivyofumbwa(ngumi)