Kwa wanao dai hii e-mail ni ay uongo eti kwa sababu hajjandika kama mzungu, eleweni kuwa US kuna watu kutoka kila sehemu, haswa upande wa elimu including researchers.
Wengi ni wale wamesomea nchi za kwao kisha wakahamia US kufanya ma phd n.k. Halafu wanapata uraia.
ni lazima tukubali afrika tuna tatizo kubwa sana la lack of professionalism, hata bandari mombasa wanao, angalao computerization imepunguza sababu hakuna haja ya kukutana mtu unaclear tu online basi.
Tuzingatie kuwa asilimia ya wale wanao complain ni ndogo sana compared to wale ambao huondoka never to come back, kisha wanawadvice wezao wasije. Any one in business ataconfirm.
So ukipata complain hata moja you must act kwa sababu ni indicator ya ufa, na certainly hatutaki kujenga ukuta.