Mmarekani kamfitini Ukraine, Ukraine kaona isiwe shida naye afitinisha. Je, ataweza?

Mmarekani kamfitini Ukraine, Ukraine kaona isiwe shida naye afitinisha. Je, ataweza?

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,

Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin.

Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa vijisilaa vidogovidogo.

Zelesky ameona isiwe shida njia anaijua ya kuwaingiza kwenye mgogoro ni kupiga nchi mojawapo ya NATO na kusikilizia game itakwendaje kama hakukusudia angekiri na kusema it is accident yangeisha sasa amekana siyo yeye nini kusudio lake,endelea kusubiri pataeleweka wafitini katika kazi zao.
 
Na kwa jinsi mnavyoendelea kumwendekeza mmarekani ndivyo hali inazidi kuwa tete
Ifike kipindi huyu jamaa tumkatae tu
Putin aachwe maisha yarejee
 
Na kwa jinsi mnavyoendelea kumwendekeza mmarekani ndivyo hali inazidi kuwa tete
Ifike kipindi huyu jamaa tumkatae tu
Putin aachwe maisha yarejee
Umeandika as if mna ushawishi wowote kwa huyo marekani.
 
Hawezi na hiyo mikopo ya silaha lazima UKRAINE wailipe siku ikiwadia.
 
Salama wandugu,

Mwanzo kabisa tuliona aliyeanza kufitinisha ni mmarekani kwa kumjaza kiburi zelesky na kuanza kuzozana na Putin.

Mambo yalipoharibika zelesky akabaki pekee yake akiambulia kupewa vijisilaa vidogovidogo.

Zelesky ameona isiwe shida njia anaijua ya kuwaingiza kwenye mgogoro ni kupiga nchi mojawapo ya NATO na kusikilizia game itakwendaje kama hakukusudia angekiri na kusema it is accident yangeisha sasa amekana siyo yeye nini kusudio lake,endelea kusubiri pataeleweka wafitini katika kazi zao.

Ukimcheki vizuri body language yake, jamaa anaonekana akili yake imekaa fyatu kidogo, sijui na unga unachangia, haeleweki, ndio maana baadhi ya Wamerikani siku hizi wanamuita Mr.Bring,Bring yaani yeye maasaa yote ni kuomba omba tuu, imefikia mpaka hatua silaha nyingine anazo pewa zina ishia kwenye black market, nyingine wanauziwa jeshi la Urusi, uwezi amini wameuziwa mpaka Roketi za HIMARS zikaenda kufanyiwa uchunguzi wa kina na wana sayansi wa Urusi kwenye mahabara ya kijeshi huko Moscow!!

Jamaa hivi sasa anaonekana kuwa liability sio tena asset kwa malengo ya Merikani huko Ukraine, ndio maana wanamshinikiza kwa mbali kwamba afanye aanze kufanya mazungumzo na Putin ili wasitishe vita, ni wazi inaelekea hata Serikali ya Merikani nayo imeanza kumchoka, wanatafuta mbinu za kumuondoa madarakani kistaarabu.
 
Back
Top Bottom