Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

Mmasai na Laizer wa Kili Fm acheni ushamba

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Hawa watangaaji (Laizer na Mmasai) ni washamba sana, wanapiga makelele yaani wanaboa wanaumiza masikio kama wanalipwa mshahara sijui nadhani wanatangaza bure,
Kwenye show yao ya Kili Breakfast Waridianaongea kwa sauti ya staha na inayovutia, Joshua nae yuko poa ila hao watangazaji wawili wanaofoji sauti ya kimasai wanaboa sana wapewe onyo na waache ushamba kwenye redio wasikilizaji hatutaki fujo wala mbwembwe za kishamba.
 
Back
Top Bottom