kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Si ajabu yuko Ubelgiji na Tundu LisuKama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
Mara ya mwisho alikuwa machame kwa mbowe nyumbani labda Mbowe ni CCM!Atakuwa katekwa na CCM
Kwakuwa ni mpenda sifa angeujulisha umma!Si ajabu yuko Ubelgiji na Tundu Lisu
Watu wa drama sana!Chadema hata akibadili ID, anakuja hapa kuomba atafutwe eti kapotea au katekwa
Swali mufilisi hapa kwenye jukwaa la siasa ni aibu kuvaa uhusika wa mkewe na kuambatana na kijiwivu!Haina afya sana hii.. Mkewe akikuuliza unamtakia nini utajibuje
walitibuana iringa akahamia ccmKama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
Alikua anakaa maji matitu kwa dada yake!walitibuana iringa akahamia ccm
si ndio weweKama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
Imekaaje!si ndio wewe
mbona unajiulizia
Na wewe Kipara kipya ndiye huyu hapaKama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
Umetumwa!Na wewe Kipara kipya ndiye huyu hapa