Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana JF naombeni msaada nini dawa ya mmba kichwani, asanteni!
Mkuu OSOKONI na Mkuu Pukudu DawaHata mimi nna hilo tatizo nimetumia ant dandruf shampoo nyingi bila mafanikio l, mafuta ya sulphur hadi nkatumia blow out kusteam nywele wapi? hamna kitu
Mkuu OSOKONI na Mkuu Pukudu Dawa
ya Mba Tiba Mbadala Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie
katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.
Fenugreek kwa kiswahili inaitwa Uwatu. Hii unachukua vijiko 2 vya chai vya fenugreek ( Uwatu) unazirowesha katika maji usiku
mzima ili zipate kulainika, halafu unazipoda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae na
kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila tabu yoyote. Tumieni kisha muje hapa munipe Feedback.