mmbu na maambikizi ya VVU

merchant123

Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Jamani nina swala lina nitatiza jidogo na sipati jibu,kama wengi tunavyojua kwamba mdudu mmbu haambukizi virusi vyiletavyo ukimwi(VVU) lakini ukiangalia mmbu anatunia the same principle kama ya sindano yani anachoma hapa then anachoma pale ni sawa kabisa na sindano ambayo haijawa sterilised sasa inakuwaje haambukizi HIV!?kwa aliyeelewa nahitaji msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…