Mme na Mke wauawa kikatili! Kisa na mkasa!!!!! Tuchungulie wote!

Mme na Mke wauawa kikatili! Kisa na mkasa!!!!! Tuchungulie wote!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Mkoa wa Tabora Mme na Mke wameuawa jana jioni baada ya kuvamia na watu wawili.

Mbele ya watoto wao marehemu Khalid na mkewe wameua kwa kucharangwa charangwa na watu hao wasiojulikana.

Na mpk sasa mtu mmoja ameshikiliwa kuhusiana na tukio hilo.

Ama kweli watu wamegeuka wanyama wakali wa mwituni.
Source vyombo mbalimbali vya hbr!
 
nani anasema tanzania kuna amani?majuzi mwalimu huko loliondo kauliwa jana hao tena tabora!amani ipo kwa wana ccm tuu
 
Ipo siku Mungu atalipa tu,kwan malipo ni hapa hapa duniani
 
JK lazima afikishwe kwa ocampo

Hili kwa huyu kwangu binafsi ningeambiwa nitoe majibu ni kwmb ningesema yani akimbizwe chap pamoja na mwenzie aliyemtangulia awamu ya tatu.

Vyombo husika na idara ya usalama ni janga tupu! Sijui kama tutafika kwa hali hii!
 
nani anasema tanzania kuna amani?majuzi mwalimu huko loliondo kauliwa jana hao tena tabora!amani ipo kwa wana ccm tuu

Ni kwmb matukio mengine hayaripotiwi kwn nakwambia yaweza ikawa kila kukicha kuna jipya kila siku kukicha! Halafu tunasema tupo miaka 50 ya uhuru!
 
nani anasema tanzania kuna amani?majuzi mwalimu huko loliondo kauliwa jana hao tena tabora!amani ipo kwa wana ccm tuu
umesahau na afisa mifugo aliepigwa lisasi na watu wasiojulikana
juzi tu
 
Habari nilizozinyaka punde kupitia simu yangu ya mkononi ni kwmb hilo tukio limeacha simanzi kubwa kwa Ndg,jamaa na hata marafiki kwani marehemu wamecharangwa vipande vipande na mpaka wanakata kauli hakuna wa kusema kimbiza hosptal.

Yani kwa kweli hili limesikitisha jamii sana.
Ila hali hii imehusishwa na ugomvi wa shamba.
 
dunia inakwenda wap kama mpaka sasa tunafikia kuuwana mbele ya watoto wenu sijui wapi tunaelekea yaan
 
moyo wa mwanadam umebadilika sana,usimwamini mtu jiamini mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom