LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Ndio maana baadhi ya waheshimiwa wamehamua kutembea na SMG!nani anasema tanzania kuna amani? ....
JK lazima afikishwe kwa ocampo
nani anasema tanzania kuna amani?majuzi mwalimu huko loliondo kauliwa jana hao tena tabora!amani ipo kwa wana ccm tuu
umesahau na afisa mifugo aliepigwa lisasi na watu wasiojulikananani anasema tanzania kuna amani?majuzi mwalimu huko loliondo kauliwa jana hao tena tabora!amani ipo kwa wana ccm tuu
this is what JF has turned-into/JK lazima afikishwe kwa ocampo
JK lazima afikishwe kwa ocampo