Mme wa shangazi nimwiteje?

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Salaam wana jf
naomba msaada wa hilo swali langu na kama limo humu nisaidieni tu kwani natumia simu ambapo nashindwa kuaccess
ahsanteni
 
Wewe humjui mjomba? au unatokea wapi mwenzetu?
 
mi navyojua huwa anaitwa baba shangazi
 
yaani mme wa dadaake babaangu awe tena mjomba,
na kakaake mama pia mjomba?

Jiulize Huyo Mjomba wako mke wake unamuitaje. Ndio Maana Wazungu Wao Kuanzia Baba Mkubwa, Mdogo,mjomba Wote ni uncle.
 
Kuna watu uwa nawasikia wanaita Baba Shangazi sijui kama ndiyo kiswahili fasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…