Mmea/mizizi wa Jinseng

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
662
Reaction score
545
Wakuu habari yenu, natumaini hatujambo wote.
Nimepata kusikia habari njema za mizizi ya mmea ujulikanao kama Ginseng kuwa ni tiba na kinga nzuri sana. Ila mizizi hyo hupatikana sana nchini China.

Je kuna anayejua kama hiyo mizizi inauzwa pia hapa Tanzania?

Natanguliza shukurani
 
Unaweza agiza aliexpress.com,,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…