Mmea mkubwa zaidi ulimwenguni wagunduliwa pwani ya Australia

Mmea mkubwa zaidi ulimwenguni wagunduliwa pwani ya Australia

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Wanasayansi wamegundua mmea mkubwa zaidi duniani katika pwani ya Magharibi ya Australia. Mmea huo una miaka zaidi ya 4,500 na ukubwa wake unakisiwa kuwa ni kilomita 180.

VCG111385379680.jpg
 
Mgogoro wa Ukraine umesabisha hata gunduzi zichanganyikiwe km 180 ni hatari
 
Mmea maana yake nini labda tuanzie hapo..., nadhani maana ya hapa ni kama marando au maboga yanapotapakaa na kujaa huku na kule ila sio necessarily kama mti wenye shina moja, kwahio in laymans term ni vigumu kumshawishi mtu kwamba huu ni mmea mmoja (inabidi kutumia technicalities)
 
Back
Top Bottom