Mmea uitwao manuka

Mmea uitwao manuka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
View attachment 929975
Mmea huu hutoa maua kama yanavyoonekana hapo pichani. Maua ya manuka hupendwa na nyuki. Nyuki wanaotoa asali kutoka kwenye kiini cha ua la manuka hutoa asali iliyo bora.

Asali ya manuka ‘manuka honey ‘ ina uwezo wa kutibu magonjwa yaletwayo na virusi,
inflammations na pia kuua cells zinazoanza formation ya cancer.

1541949025739.jpeg

1541949235389.jpeg
 
View attachment 929975
Mmea huu hutoa maua kama yanavyoonekana hapo pichani. Maua ya manuka hupendwa na nyuki. Nyuki wanaotoa asali kutoka kwenye kiini cha ua la manuka hutoa asali iliyo bora.

Asali ya manuka ‘manuka honey ‘ ina uwezo wa kutibu magonjwa yaletwayo na virusi, inflammations na pia kuua cells zinazoanza formation ya cancer.
Sky, mbona attachment inaleta forums
 
Dawa ni kuchukua huo mmea na kuja kuuotesha Mbeya, Arusha, Njombe, Iringa na Tanga.

Asali yetu ya Tabora wanasema ina nicottin ya kweye Tumbaku. Wazungu wabaya sana, kabla hawajaja Tabora hatukuwa na Tumbaku na tulikuwa na asali yenye maua aasilia asali tamu sana yenye kuongeza urijali na kuweza kuhimili mizigo mizito na zaidi kurejesha virutubisho vyote vilivyopotea mwilini ikiwa pamoja na kuponya vidonda hasa vya moto.

Walipoona asali yetu ni ya kiwangio cha juu, wakaleta zao la Tumbaku ili nyuki wafyonze niccotin na baadae asali yetu ikose soko. Sasa wanatuuzia wao asali gram 125 kwa Pound 35, sio sawa kabisa huu ni uhujumu uchumi mamboleo.

Mzaliwa Tabora.
 
Ni matajiri tu ndiyo wanamudu mambo haya. Hiyo £35 sijanunu bundle ya kuchat JF!
 
Dawa ni kuchukua huo mmea na kuja kuuotesha Mbeya, Arusha, Njombe, Iringa na Tanga.

Asali yetu ya Tabora wanasema ina nicottin ya kweye Tumbaku. Wazungu wabaya sana, kabla hawajaja Tabora hatukuwa na Tumbaku na tulikuwa na asali yenye maua aasilia asali tamu sana yenye kuongeza urijali na kuweza kuhimili mizigo mizito na zaidi kurejesha virutubisho vyote vilivyopotea mwilini ikiwa pamoja na kuponya vidonda hasa vya moto.

Walipoona asali yetu ni ya kiwangio cha juu, wakaleta zao la Tumbaku ili nyuki wafyonze niccotin na baadae asali yetu ikose soko. Sasa wanatuuzia wao asali gram 125 kwa Pound 35, sio sawa kabisa huu ni uhujumu uchumi mamboleo.

Mzaliwa Tabora.
Sio wazungu tuu hata jamaa flani hivi naye husema hivyo.
 
Inazalishwa sana New Zealand. Hewa ya Loshoto inaweza kukubali ukuaji wa mmea huu. Hata tukiuza chupa £5 bado faida ipo.
Ngona tupate jina la kwetu si ajabu tunao. Ni fursa pia. Tatizo labda linakuja aina ya nyuki, tunao hao nyuki? maana nyuki hufyonza utomvu na kuubadirisha kuwa asali! Au kuna spcial utomvu kutoka kwenye mmea huo?
 
Huwa nawapelekea wateja hii asali lakini bei yake kiboko, inatoka New Zealand
Ni dawa haswa
 
Ninawaza kama ni biashara si vibaya kujenga green house na kupanda huu mema na kufuga nyuki hump ndani. Jumuiya kuna wataalumu watatufahamisha nyuki bora kwa manuka
 
Back
Top Bottom