sawasawa.kwani huo mti bongo haupo?,na unaitwaje kwa kizungu?Ulaya mkuu bei inaanzia £35 kwa chupa ya 250 mg
Sky, mbona attachment inaleta forumsView attachment 929975
Mmea huu hutoa maua kama yanavyoonekana hapo pichani. Maua ya manuka hupendwa na nyuki. Nyuki wanaotoa asali kutoka kwenye kiini cha ua la manuka hutoa asali iliyo bora.
Asali ya manuka ‘manuka honey ‘ ina uwezo wa kutibu magonjwa yaletwayo na virusi, inflammations na pia kuua cells zinazoanza formation ya cancer.
True.ngoja waje mabotanisti mi nkajua manuka ndo kiswahili.View attachment 929992
Mkuu manuka ndiyo jina la kizungu wanaoufahamu watujuze. Inawezekana tumekalia utajajiri lakini hatufahamu.
Manuka Honey: Medicinal Uses, Benefits, and Side EffectsView attachment 929992
Mkuu manuka ndiyo jina la kizungu wanaoufahamu watujuze. Inawezekana tumekalia utajajiri lakini hatufahamu.
Inazalishwa sana New Zealand. Hewa ya Loshoto inaweza kukubali ukuaji wa mmea huu. Hata tukiuza chupa £5 bado faida ipo.Manuka Honey: Medicinal Uses, Benefits, and Side Effects
Ngoja wataalamu wa mimea waje.... Prof. Marehemu Mwandemele! miaka ya 80 UDSM alikuwa kiboka wa nomenclature!
Ni matajiri tu ndiyo wanamudu mambo haya. Hiyo £35 sijanunu bundle ya kuchat JF!Dawa ni kuchukua huo mmea na kuja kuuotesha Mbeya, Arusha, Njombe, Iringa na Tanga.
Asali yetu ya Tabora wanasema ina nicottin ya kweye Tumbaku. Wazungu wabaya sana, kabla hawajaja Tabora hatukuwa na Tumbaku na tulikuwa na asali yenye maua aasilia asali tamu sana yenye kuongeza urijali na kuweza kuhimili mizigo mizito na zaidi kurejesha virutubisho vyote vilivyopotea mwilini ikiwa pamoja na kuponya vidonda hasa vya moto.
Walipoona asali yetu ni ya kiwangio cha juu, wakaleta zao la Tumbaku ili nyuki wafyonze niccotin na baadae asali yetu ikose soko. Sasa wanatuuzia wao asali gram 125 kwa Pound 35, sio sawa kabisa huu ni uhujumu uchumi mamboleo.
Mzaliwa Tabora.
Sio wazungu tuu hata jamaa flani hivi naye husema hivyo.Dawa ni kuchukua huo mmea na kuja kuuotesha Mbeya, Arusha, Njombe, Iringa na Tanga.
Asali yetu ya Tabora wanasema ina nicottin ya kweye Tumbaku. Wazungu wabaya sana, kabla hawajaja Tabora hatukuwa na Tumbaku na tulikuwa na asali yenye maua aasilia asali tamu sana yenye kuongeza urijali na kuweza kuhimili mizigo mizito na zaidi kurejesha virutubisho vyote vilivyopotea mwilini ikiwa pamoja na kuponya vidonda hasa vya moto.
Walipoona asali yetu ni ya kiwangio cha juu, wakaleta zao la Tumbaku ili nyuki wafyonze niccotin na baadae asali yetu ikose soko. Sasa wanatuuzia wao asali gram 125 kwa Pound 35, sio sawa kabisa huu ni uhujumu uchumi mamboleo.
Mzaliwa Tabora.
Ngona tupate jina la kwetu si ajabu tunao. Ni fursa pia. Tatizo labda linakuja aina ya nyuki, tunao hao nyuki? maana nyuki hufyonza utomvu na kuubadirisha kuwa asali! Au kuna spcial utomvu kutoka kwenye mmea huo?Inazalishwa sana New Zealand. Hewa ya Loshoto inaweza kukubali ukuaji wa mmea huu. Hata tukiuza chupa £5 bado faida ipo.
Ungechukua mbegu zake ukapanda sehemu ya ukame kidogo inakubali sanaMmea huo upo pia Tanzania hasa kwenye makanisa ya kale