Ni matajiri tu ndiyo wanamudu mambo haya. Hiyo £35 sijanunu bundle ya kuchat JF!
Sio wazungu tuu hata jamaa flani hivi naye husema hivyo.
hahahahahHaSawa
Ukiichanganya Na Korosho Hatari Kwa Uzuri
Yaani karibia 80000 unanua bundle tu ? Au hesabu sijui mieNi matajiri tu ndiyo wanamudu mambo haya. Hiyo £35 sijanunu bundle ya kuchat JF!
£1 = Tshs 2,942.23
2900 x 35 = 101,500
Mbona huu mti kama nimewahi kuuona ila zaman sana majani yake yana harufu hivi na ukikata mti wake una kautomvu labda naifananishaView attachment 929992
Mkuu manuka ndiyo jina la kizungu wanaoufahamu watujuze. Inawezekana tumekalia utajajiri lakini hatufahamu.