Mmea wa ajabu unao ona wachawi

Desert Voice

Senior Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
159
Reaction score
410
Nipo mkoani Simiyu, nilikuja hapa Wiki iliyopita kumtembelea rafiki yangu, nyumbani kwake amepanda mmea wa ajabu sana, anadai mmea huo una uwezo wa kuona wachawi na kutoa ishara,mimi sikuamini hadi aliponiaminisha.
Picha hapo inaonyesha huo mmea baada ya kuona wachawi usiku umesinyaa kabisa,hadi asubuhi ulikuwa bado umesinyaa.
Picha nyingine hapo ni mchana mmea umerudi ktk hali yake na kutulia kabisa.
Nimejaribu kumdadisi kasema hawezi kuniambia kwa sababu mimi ni mlokole kama nataka kujua mengi juu ya mmea huo niingie ktk ushirikina 100%.
Pamoja na ulokole wangu napenda pia kujifunza mambo mengi kuhusu hii Dunia ya kutisha, wajuzi wa mambo kina mashana jr na wengineo njooni hapa kwa ufafanuzi zaidi.
 
Mmea hapo ukiwa umesinyaa kabisa
 
ushawahi kuwaza labda huo mmea unategemea jua la asubuh kubroom na usiku unasinyaa...maana ndo zile zile za msolopaganzi na machimbo ya mfale suleiman jamaa alizuia jua kisa tu alijua mda wa kupatwa kwa jua ...katika huu ulimwengu wa kitechnology hutakiwi fikiria kama enzi za zama za mawe mkuu tupe species tukupe charecteriestics ya huo mmea...... emancipate yourself from mental slavely
Charles Darwin believed that plants close up at night to reduce their risk of freezing. Another theory suggests that nyctinastic plants are conserving energy — and perhaps their odor — for the daytime, when pollinating insects are most active.

Some scientists believe that this self-serving behavior prevents pollen from becoming wet and heavy with dew. Insects can more easily transfer dry pollen, improving a nyctinastic plant's likelihood of successful reproduction.
 
Mkuu.....inawezekana huo mmea ulinenewa maalum kwa kufanya hivyo....lakin ukienda porini.....ukichek mmea kama huo unakuta hauna nguvu hizo...hadi manuizi maalum
 
Kuna yale majani ya polini ukiyagusa yanasinyaa nayobyanaona wachwawi?
Kama umeamini hayobna weww utakuja kuwa mchawi
 
Huyo mganga ni tapel kama matapel wengine kule kijijini kwetu rombo mrao kuna mmea unaitwa kwa kichaga (kchumanguku) ukiugusa tu unasinyaa bada kama dk 4 unasimama wenyewe. Shituka umekutana na tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…