PlataOPlomo
Member
- Jun 14, 2025
- 35
- 25
Shukrani, lakini kumeshindikana kote na ndio maana tunawahusisha waTanzania kwa sababu kelele zetu huwa ni msaada tosha.. Naomba support ya kushare na kutag ili tuweze kutendewa HAKI . Tunanyaraka na ushahidi uliojitosheleza.Mungu awaongoze, but jaribuni kutumia wanasheria kwenye hili katika kupata solution, huyo mama hasikii la mtu kwa sasa
Kwa wana sheria kumeshindikana vipi, maana mtu ukiwa na mgogoro unahaki ya kwenda mahakamani kupata haki yako, tafuta wanasheria wazuri. Pia unaleta malalamiko yako kwa watanzania kwa kutumia lugha wasiyoifahamu vizuri , ngumu sana kufikia lengoShukrani, lakini kumeshindikana kote na ndio maana tunawahusisha waTanzania kwa sababu kelele zetu huwa ni msaada tosha.. Naomba support ya kushare na kutag ili tuweze kutendewa HAKI . Tunanyaraka na ushahidi uliojitosheleza.
Shukrani, lakini kumeshindikana kote na ndio maana tunawahusisha waTanzania kwa sababu kelele zetu huwa ni msaada tosha.. Naomba support ya kushare na kutag ili tuweze kutendewa HAKI . Tunanyaraka na ushahidi uliojitosheleza.
Shukrani , Tunaomba Msaada wa Kupaziwa Sauti huenda kelele zikiwa nyingi Mitandaoni huenda wakasitisha na kutenda inavyopaswa ili kutupatia HAKI zetu.... Kama Kuna UOVU unapangwa au kutengenezwa basi waone Aibu na wenye Hatia . Mitandao mbalimbali pia itakua ni sehemu ya msaada pamoja na kutag bank husika na Samia Suluhu Hassan..Swala linaloitwa Haki kwenye nchi hii ya Tanzania? Ni kama msamiati mpya Taasisi ni kama hazitambui, Watu wanaonewa Sana wanapokwa Sana Haki zao, lakini Yana Mwisho! Vyombo vya Haki havitoi Haki, Pazeni sauti yamkini msaada utatokea na kupata Haki zenu
Shukrani , Tunaomba Msaada wa Kupaziwa Sauti huenda kelele zikiwa nyingi Mitandaoni huenda wakasitisha na kutenda inavyopaswa ili kutupatia HAKI zetu.... Kama Kuna UOVU unapangwa au kutengenezwa basi waone Aibu na wenye Hatia .Swala linaloitwa Haki kwenye nchi hii ya Tanzania? Ni kama msamiati mpya Taasisi ni kama hazitambui, Watu wanaonewa Sana wanapokwa Sana Haki zao, lakini Yana Mwisho! Vyombo vya Haki havitoi Haki, Pazeni sauti yamkini msaada utatokea na kupata Haki zenu
Tupo tayari kushirikiana na yeyote atakaetusapoti kwa namna yoyote katika kutekeleza mawazo mazuri ya namna hii , kwa sababu media hazitupi ushirikiano pamoja na kutuma SHAHIDI na wengine wanataka pesa , Kama Kuna yeyote anaeguswa na yupo tayari kutuunganisha na online tv au tiktokers wenye followers wengi tupo Tayari kushirikiana nao.Labda mahakamani mnapoteza mda.
Mngeanza na press conference ya msisitizo kwenye media then video clip mshare tiktok .
Kichwa cha habari kiwe : CRDB wametutapeli.
Muhimu muwe na ushahidi wa kutosha. CRDB watawatafuta wenyewe
Ubwela ubwela!!!
Tupo tayari kushirikiana na yeyote atakaetusapoti kwa namna yoyote katika kutekeleza mawazo mazuri ya namna hii , kwa sababu media hazitupi ushirikiano pamoja na kutuma SHAHIDI na wengine wanataka pesa , Kama Kuna yeyote anaeguswa na yupo tayari kutuunganisha na online tv au tiktokers wenye followers wengi tupo Tayari kushirikiana nao.Labda mahakamani mnapoteza mda.
Mngeanza na press conference ya msisitizo kwenye media then video clip mshare tiktok .
Kichwa cha habari kiwe : CRDB wametutapeli.
Muhimu muwe na ushahidi wa kutosha. CRDB watawatafuta wenyewe
Ubwela ubwela!!!
Sawa nashukuru nitasubiri.Ngoja tumalizane na polepole kwanza
Tayari nimeshaweka kuleJambo hili ungelipeleka kwenye jukwaa linalosomwa na watu wengi kama jukwaa la hoja mchanganyiko
Kaka nashukuru kwa ushauri wako, LAKINI PIA soma vizuri mtiririko wote , kwa sababu mahakamani pia tulishafika na KESI ikaendeshwa katika mazingira ya upendeleo na ndio kilicho tufanya tuende BANK OF TANZANIA ambao wao pia wameikuta CRDB BANK PLC na Makosa na kuiamrisha kulipa , kwa sababu ya hukumu kutokua wazi kisheria tunakata rufaa BOT Kisha wanatakiwa watujibu ndani ya siku 21 ambazo Hadi sasa ni siku ya 80 wamekaa kimya kinyume na Sheria na ndio maana tunapaza sauti ili tujibiwe rufaa yetu kutokana na malalamiko yetu kwa sababu Hadi sasa Bank of Tanzania INATENDA kinyume na Sheria na popote Sheria inapopindishwa tambua Kuna UKIUKWAJI MKUBWA wa utawala bora. wa TANZANIA kuliko kutafuta Cha kukosoa ,napokea ushauri lakini pia tufocus kwenye tatizo na kusaidiana katika kutafuta HAKI.Kwa wana sheria kumeshindikana vipi, maana mtu ukiwa na mgogoro unahaki ya kwenda mahakamani kupata haki yako, tafuta wanasheria wazuri. Pia unaleta malalamiko yako kwa watanzania kwa kutumia lugha wasiyoifahamu vizuri , ngumu sana kufikia lengo
Alafu kingine ukiachana na Polepole , unataka mh. Rais asome na hiyo username Plata o plomo Au?