Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Na wao wapunguze kodiSerikali ifanye haraka sana kumdhibiti Azam TV, tena haraka sana, huyu Azam TV anachofanya sasa ni monopoly business, kila kukicha anapandisha bei ya vifurushi vyake wala hajali, Azam TV wa kudhibitiwa haraka kabisa, hii ni hatari sana
Azam nilishawapiga chini muda. Zuku yatosha.Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi?
Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.