4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wenda umeona nimeharibu , ila hapo kuna ujumbe mkubwa sanaUmeharibu hapo mwishon kwenye mapesa yote....kwani ukiwa masikini hutokufa?
Upo sawa ,ila kuna vifo , hata salamu za lambilambi hutozipata.leo Chadema wanajipanga kuanza ujenzi wa chuo ambacho kitaitwa Mtei ili kutunza legacy yake ,unafkili angekua Butiku au makamu mwenyekiti wa ccm ,nani ataweza kuwazia ujinga huu?Kufa ni kufa kuna vibe, kumepoa , kifo ni kifo.. una hela, maskini utakufa.
Jk atakufa asubuhi atazikwa kesho yake na uisilamu hauna vibe mana kifo ni ibada chap sanaaaaa wanakufukia maisha yanaendelea we unaesubiri vibe endelea kusubiri
Pumbavu ,wenda hu Mbowe aliechanganyikiwa, pumbavu sanaMtei hakuwaga mvuta bangi kama heche
Maneno yako ni kweli kwa wakati tulionao Kikwete anachukiwa sana kwani watu wamebaini kuwa yeye ndiye anayempoteza Samia . Ishara hiyo ilionekana hapo juzi alipofiwa na shemeji yake dada ya mkewe; hakukuwa na watu wengi kuja kumfariji except wale machawa wake wa kila siku! The only dignitary present apart from the SHEIKH MKUU was retired General Mwamunyange!!!Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini, siku Kikwete anafariki usitegee vibe kama hili ,maana wananchi wanamkuchukia sana .
Mzee Mtei kafaliki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote , ila mzee katuacha ,
Bumbavu ccm
Mmmmh kaka kweli JK afe leo kusiwe n asalama za rambirambi uko serious kabisaa....Upo sawa ,ila kuna vifo , hata salamu za lambilambi hutozipata.leo Chadema wanajipanga kuanza ujenzi wa chuo ambacho kitaitwa Mtei ili kutunza legacy yake ,unafkili angekua Butiku au makamu mwenyekiti wa ccm ,nani ataweza kuwazia ujinga huu?